MASOKO YA TUMBAKU CHUNYA NI KIDIGITALI; HAIJAPATA KUTOKEA TANZANIA
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe Mbaraka Alhaji Batenga amesema kutumia mizani za kidigitali katika masoko ya zao la Tumbaku mwaka 2026 kutasaidia kuweka vizuri Kumbukumbu kwa pande zote zinazohusika…
